Category: Makundi ya vyakula

If you create an account, you can set up a personal learning profile on the site. Uendelezaji wa afya ni shughuli yoyote inayolenga kutimiza afya bora katika jamii au nchi.

Huhusisha elimu ya kiafya kwa watu binafsi ili kuwawezesha kudhibiti na kubadilisha mitindo yao ya kimaisha ili kuboresha afya yao. Hili ndilo lengo kuu la Kipindi hiki katika muktadha wa jukumu lako kama mwalimu wa afya wa wanawake wajawazito katika safari za utunzaji katika ujauzito. Lakini jinsi unavyojua kutoka katika Kipindi cha 2 cha Moduli hii, shughuli za uendelezaji wa afya huenda zaidi ya kulenga mienendo ya mtu binafsi na huhusisha tatuzi anuwai za kijamii na kimazingira zinazoboresha afya na hali njema kwa jamii na vile vile watu binafsi.

Uendelezaji wa afya pia huhusisha uzuiaji wa magonjwa - Vitendo vinavyotekelezwa ili kuzuia magonjwa kuendelea, na uchunguzi wa kiafya - utaratibu wa kupima watu binafsi ili kujua ikiwa wamo katika hatari ya kukumbwa na tatizo la kiafya. Uhusiano kati ya uendelezaji afya, elimu ya kiafya, uzuiaji wa magonjwa na uchunguzi wa kiafya umeelezwa katika Picha 2.

Utunzaji katika ujauzito Utunzaji kamili katika ujauzito, Kipindi cha 13 unatoa kiingilio kikuu kwa huduma anuwai za uendelezaji wa afya na uzuiaji wa magonjwa. Ni muhimu kwa wanaotoa utunzaji wa kiafya na wanawake kuongea kuhusu masuala muhimu yanayoathiri afya ya mwanamke na ujauzito wake. Katika kipindi cha ujauzito, unaweza kuendeleza afya ya wanawake walio chini ya utunzaji wako na afya ya watoto wao kabla na baada ya kuzaliwa kwa kuwaelimisha kina mama kuhusu manufaa ya lishe bora, kupumzika vya kutosha, usafi, upangaji uzazi na unyonyeshaji wa mtoto pasipo kumpa chakula kingine chochote, chanjo na juhudi zingine za uzuiaji wa magonjwa.

Lengo lako ni kukuza ufahamu za wanawake kwa masuala haya ili waweze kufanya uamuzi bora unaoathiri matokeo ya ujauzito wao - lakini kamwe usisahau wala kupuuza ugumu utakaowakabili wanawake wengine katika harakati za kuboresha mitindo yao ya kimaisha. The materials below are provided for offline use for your convenience and are not tracked.

If you wish to save your progress, please go through the online version. For further information, take a look at our frequently asked questions which may give you the support you need. Skip to main content. Explore OpenLearn. Search for free courses and collections. Sign in. Get started Create a course Free courses. Yaliyomo Utangulizi Sehemu 1 1. Kupanga Utunzaji katika Ujauzito 2. Kuendeleza Utunzaji katika Ujauzito 3.

Anatomia na Fiziolojia ya Mfumo wa Uzazi wa Kike 4. Udhibiti wa Homoni katika Mfumo wa Uzazi wa Kike 5. Maumbile ya Pelvisi ya Mwanamke na Fuvu la Fetasi 7. Mabadiliko ya Kifiziolojia katika Ujauzito 8.

Avviso competenze digitali, oliverio: una polizza dinvestimento sul

Kutathmini Mama Mjamzito kijumla Kutathmini Fetasi Kutoa Huduma ya Utunzaji Maalum katika Ujauzito About this course 26 hours study 1 Level 1: Introductory Course description. Utunzaji katika Ujauzito If you create an account, you can set up a personal learning profile on the site. Create account See more courses. Downloads You can download these files for use offline or on a mobile device. Explanation of available formats and their limitations.

XML source document staff only. All downloads across this website. Go to next page Next Malengo ya Somo la Kipindi cha Print page. Have a question? Report a concern.Hii makala inaendelea kutoka makala iliyopita. Ukitaka kuanza vizuri mwanzo tafadhali tembelea link hii: Fahamu juu ya lishe ya watoto. Lishe ni msingi bora wa kumlea mtoto mwenye afya bora. Hii makala inalenga kukupa uelewa juu ya vyakula ambavyo mtoto anaweza kula ili kuwa na lishe bora, kuanzia miezi 6 hadi miaka 2.

Hiki ndio kipindi muhimu kabisa katika ukuaji wa maisha ya binadamu. Kwa mtoto anayeanza kula, ni muhimu apewe chakula kiasi kidogo ili kumfanya azoee. Si mara zote watoto hupenda vyakula mara ya kwanza, lakini baada ya muda huzoea na kukipenda. Mtoto anayeanza kula apewe chakula laini kwa kipimo cha kijiko 1 mara 3 kwa siku. Kwa kila baada ya siku 3 hadi wiki endelea kuongeza idadi ya vijiko, wingi, uzito na aina ya chakula.

Ni muhimu kutochanganya vitu vingi wakati mmoja, maana mtoto anaweza kupata allergy kutokana na vyakula na ukashindwa kuelewa nini kimesababisha. Jinsi mtoto anavyozidi kukua boresha chakula chake taratibu kwa kutumia mafuta yenye afya, hasa yale yatokanayo na mimea mfano kweme, alizeti, mzaituni, nazi na maziwa.

Vilevile, unaweza kutumia mafuta yatokanayo na viumbe wa baharini mfano, samaki. Pia, ni muhimu mama ajitahidi kuhakikisha kuwa chakula cha mtoto kina virutubisho toka kwenye makundi yote 6 muhimu ya chakula — kabohadreti, mafuta, protini, vitamin, madini na maji. Kutokana na ushauri wa wataalamu wa lishe, mtoto mwenye miezi 6 huanza rasmi kupewa vyakula vya ziada huku akiendelea kupewa maziwa ya mama.

Ni vizuri kuzingatia kuwa, mtoto anayeanza kula vyakula asimchanganyiwe vyakula tofauti muda wa mwanzo. Anza kumpa kitu kimoja kimoja ili kufahamu anapendelea vyakula gani zaidi na vipi hapendi.

Vyakula vya watoto kuanzia miezi 6

Mpe zaidi vyakula anavyopenda, huku ukiwa unamchanganyia vyakula asivyopendelea sana kwa kiasi kidogo. Hii itamfanya azoee vile vyakula asivyopenda na kuanza kuvipenda pia. Kumpa mtoto chakula kimoja kimoja na kumsoma taratibu husaidia pia kufahamu vyakula ambavyo vinaweza kumletea mtoto madhara. Vyakula vinavyoweza kuliwa kwa umri huu ni: uji laini, viazi vizuri ukipata viazi lishemboga za majani zilizopikwa na kuiva vizuri na matunda yalivyopikwa, kuiva vizuri na kupondwa.

Mfano wa vyakula na matunda ni boga, apples, ndizi, peasi. Mtoto wa umri huu anatakiwa anyonye kwanza kabla ya kupewa vyakula vya ziada. Vyakula vya ziada apewe mara 2 au 3 kwa siku na visizidi vijiko mpe 3 vya chakula.

Mtoto mwenye umri huu anaweza kupewa vyakula mchanganyiko vilivyopondwa.

MAKUNDI YA DAMU: makundi ya damu kwa undani zaidi // sehemu 1 // KA Clinics.

Vyakula viwe na mchanganyiko wa makundi yote 6 ya vyakula. Ni muhimu pia kumpatia mtoto vyakula vya asili ya nyama nchi kavu na habarinimatunda na mboga za majani. Pia ni huu ni umri muafaka wa kuongeza aina moja mpya ya chakula kwa kila wiki. Muda wa wiki unatosha kukuonyesha kama mtoto anaweza kudhurika na chakula aina fulani. Jaribu kupunguza vyakula vyenye sukari nyingi.

Sukari siyo nzuri sana kwa ukuaji wa mtoto, hasa ubongo. Mtoto wa umri huu apewe chakula cha ziada mara 2 hadi 3 kwa siku, kwa idadi ya vijiko 3 hadi 9 vya chakula. Hii ikiwa ni baada ya maziwa ya mama.

Mara nyingi watoto wengi wakifika umri huu huwa na meno na pia anakuwa anafahamu ladha ya vyakula mbalimbali. Hivyo, unaweza kumlisha vipande vidogo vidogo vya chakula vigumu au vyakula laini vilivyopondwa.

makundi ya vyakula

Katika vyakula vyake, unaweza kumpa matunda, na kuanza kumjaribu vitu mfano cheese, mboga za majani na vyakula jamii ya protini — nyama, samaki n.

Kama mtoto anaweza kula kwa mikono yake, ni vizuri pia kumuacha aweze kujizoesha kuchukua vitu na kula, lakini fanya hivi mara baada ya kula kiasi kikubwa cha chakula alichotengewa. Watoto hupenda sana uhuru, wakati mwengine kumuacha ale mwenyewe huweza kumfanya ale zaidi ya kulishwa na mtu mzima.Kila mtu anatkiwa ale chakula kwa kulingana na mahitaji ya mwili wake.

Motto anatakiwa ale vyakula maalumu kwa ajili ya kumuwezesha kukuwa vizuri umbo na kiakili. Halikadhalika mama wajawazito wanatakiwa wale vyakula maalumu kwa ajili ya kuwezesha afya ya mama na motto. Wazee, vijana, wafanyakazi na wagojwa wanatakiwa wale vyakula kulingana na hali zao. Hapa tutakuletea lishe kwa kulingana na makundi ya watu.

Upungufu wa protini unaweza kumpelekea mtoto awe na ukuaji hafifu. Kwa ukuaji mzuri wa meno na mifupa mtoto anatakiwa apewe vyakula vya madini kama madini ya kashian calcium upungufu wa madini haya huenda mtoto akawa na ukuaji mbaya wa mifupa. Madini ya zink ni muhimu pia katika ukuaji wa mtoto.

Vitamini B12 ni muhimu kwa ajili ya kuhakikisha utengenezwaji wa seli nyekundu za ndamu. Vitamini ni muhimu sana katika ukuaji wa mtoto. Watoto wapewe vyakula vyenye vitamini C kwa wingi kama machungwa, mapapai.

Vitamini hivi vinamuwezesha mtoto kutengeneza kinga ya mwili ili kuweza kupamabana na maradhi. Watoto pia wanatakiwa wapewe vyakula vya wanga kwa wingi ili waweze kupata nguvu ya kutosha kuweza kufanya shughuli zao kama mazoezi ya kutambaa, kukumbia, kusimama n.

Wamama wajawazito na wanaonyonyesha. Wanaonyonyesha na wajawazito wanahitaji kupata vyakula vyenye viinilishe vya kutosha ili kuwezesha ukuaji wa mtoto tumboniutengenezwaji wa maziwa na kwa ajili ya afya zao wenyewe. Vyakula vya protini vinahitajika kwa mkiwango kikubwa ili kuwezesha mwili wa mama kujenga misuli vizuritishu katika mwili wake na mwili wa mtoto aliye tumboni.

Utengenezwaji wa maziwausafirishwaji wa damu na ukuaji wa viungo vya mama na mtoto unahitaji protini. Hivyo wamama hawa wapewe protini kwa wingi. Vyakila vya folic asid na vitamini B vinahitajika kwa ajili ya kuwezesha kupunguza tatizo la kushindwa kujifunguwa kwa njia ya kawaida. Vyakula vya madini ya kashiam calcium ni muhimu kwa ukuwji wa mifupa ya mtoto aliye tumboni na kuimarika mwili wa mama pia.

Kwani mjamzito asipopewa madini haya mtoto atatumia madini yaliyomo kwa mama na kumfanya mama awe na mifupa dhaifu katika kipindi hiki. Madini ya chuma ni muhimu katika utengenezwaji wa damu, halikadhalika mtoto anahitaji madini haya ili ayatumie katika wiki ya kwanza ya kuzaliwa.Post a Comment. Unknown PM. Wataalam wa mambo ya saikolojia na maumbile wamezisoma tabia mbalimbali za binadamu na hatimaye wamewagawanya binadamu katika makundi makuu manne yenye kategoria kuu mbili.

Colerick Na sasa tuangalie tabia za kila kundi na mienendo yao 1.

Samsung smart tv volume control not working

SANGUINE -Wana uwezo wa kawaida kiakili mara nyingine mdogo -Ni wacheshi sana -Watu walio na maneno mengi na wasiopumzika kuongea -Wanajisikia raha sana pale wanapokuwa wakiongea na watu wengine wakiwasikiliza -Wanapenda kuanika mambo yao binafsi mbele ya wengine -Waigizaji wa kuchekesha wengi ni wakutoka katika kundi hili -Wanapenda sana kujisifu na kujikweza -Wanapenda sana kusifiwa hata kwa mambo ambayo hayana uhalisia -Wanataka sana kuonekana mbele ya watu kwa kila jambo wanalolifanya.

Ikitokea ajali huwa watu wa kwanza kujitokeza eneo la tukio na kuanza kutoa msaada; lakini akiondoka pale anasahau kila kitu na hata kama ametumwa akalete ambulance, anaweza kuanza kufanya shughuli zake nyingine -Muda wote wako nadhifu ni wakereketwa wa masuala ya usafi na unadhifu -Wana kiherehere sana. No comments. Subscribe to: Post Comments Atom. Theme images by sbayram. Powered by Blogger.Kuna vitu vingi vya kuzingatia unapomchagua mtu kuwa mwenza wa maisha yako.

Jambo mojawapo la kuangalia ni kundi la damu. Sio kitu kinachozingatiwa na watu wengi wakati wa uchumba lakini fahamu kuwa utofauti wa makundi ya damu unaweza kusababisha matatizo kwenye ndoa. Matatizo hayo yanaweza kutokea wakati wa ujauzito na kumuweka mtoto ambaye hajazaliwa katika hatari. Tunapokutana au kujuana na wapenzi wetu, aina ya damu ni miongoni mwa vitu tunavyoshirikiana.

Lakini unafahamu alama hizo zinamaanisha nini? Hizo alama ni viashiria vya makundi ya damu zetu. Zaidi ya hapo tuna mifumo 30 mingine ya makundi ya damu ambayo hutokana na antijeni seli ndogo ndogo ambazo zinaunda kinga ya mwili.

Chembe chembe za damu. Kama una kundi A la damu, ina maana una antijeni A na hivyohivyo kwa kundi B la damu. Lakini vipi kama una kundi AB au O la damu? Kimsingi, kama una kundi A la damu, mwili wako utatambua seli za kundi B la damu kama kitu kigeni na kutengeneza kingamwili anti-A dhidi yake. Vile vile kwa watu wenye kundi B watatengeneza kingamwili anti-A dhidi ya seli za kundi A la damu. Hizi kingamwili anti-A na anti-B zitatambua antijeni A na B na zitapingana au kupishana na kusababisha seli kufa.

Kwa upande mwingine, mtu mwenye kundi la O la damu anaweza kutengeneza kingamwili zote mbili ikiwa atakutana na kundi lolote la damu, lakini upungufu wa antijeni yoyote inarahisisha kuchangia.

Mfumo wa Rh una zaidi ya antijeni Zinazopatikana kwenye mwili wa binadamu ni 5: D, C, c, E na e. Kati ya hizi antijeni D ni muhimu sana kwenye mfumo wa Rh. Hata hivyo, ikiwa damu ya Rh hasi ikihamishiwa kwa mtu mwenye damu ya Rh chanya, hakuna mgongano utakaotokea kwenye antijeni au kingamwili. Hata kama kuna utofauti wa makundi ya damu hauathiri wanandoa, unaweza kuwa tatizo wakati wa kupata mtoto. Utofauti wa mfumo wa ABO sio jambo kubwa, lakini sio kwa mfumo wa Rh.

Unataka kuoa au kuolewa? Fahamu kundi la damu la mweza wako

Kutofautiana au kutoingiliana kwa Rh ni tatizo kubwa ambalo linaweza kumuathiri mama na mtoto. Wanasayansi wanaeleza, kuwa kutokuingiliana kwa Rh kunatokea wakati mama ana Rh hasi na kichanga kina Rh chanya. Ikiwa damu ya kichanga yenye Rh chanya ikivuja na kukutana na mzunguko wa uzazi wa mama ambao una Rh hasiseli za kichanga zitatambulika kama ni za kigeni. Matokeo yake mama atatengeneza kingamwili inayoitwa Rh immunoglobulin G.

Hizi kingamwili zitapita kwenye mfuko wa uzazi na kushambulia seli nyekundu za damu za kichanga kilichopo tumboni. Kwasababu hiyo, mama hatengenezi kingamwili za kutosha, mtoto wa kwanza hawezi kudhurika. Kutokea kwa hali hiyo kutaendelea kuongezeka kwa mimba zinazofuata kama kichanga kitakuwa na Rh chanya. Na matukio mabaya zaidi kusababisha upungufu wa damu mwilini Anemia na kuzaliwa kwa mtoto aliyekufa stillbirth.

Ikiwa mtoto atazaliwa na Anaemia, ataongezewa maji na huduma ya mionzi ya bilirubin lights ili kumtibu na maradhi hayo. Mionzi hiyo inatoa miale emitting rays of nm inayobalisha bilirubin kwenye mfumo ambao unarahisisha kuondolewa mwilini.

Ikihusishwa na kuongezewa maji kunafanya mchakato ufanikiwe kwa haraka. Kama mtoto atakuwa ana hali mbaya anaweza kuongezewa damu akiwa kwenye mfuko wa uzazi. Sindano inaingizwa kwenye mfuko wa uzazi kwa kutumia mashine ya ultrasound.

Uongezaji wa damu unafanyika mara kwa mbili au tatu kabla mtoto hajazaliwa. Hata kama matibabu ya Anaemia ni mazuri na yanaweza kuleta matokeo chanya, kinga au uzuiaji ni chaguo zuri. Ikiwa kuna dalili kuwa seli za Rh-chanya zinaweza kuingia kwenye mzunguko wa uzazi, matibabu hayo yanaweza kufanyika katika wiki ya 28 hadi 32 ya ujauzito na saa 72 wakati wa kujifungua. Uzuiaji wa kutoingiliana kwa Rh ni rahisi sana kuliko maumivu na ugumu unaotokea wakati wa matibabu.Asante sana mzizi mkavu kwa mada nzuri ila mimi bado nahitaji kujua namna nipaswavyo kula ili kufanya afya yangu iwe bora na yenye kinga ya kutosha dhidi ya maradhi mbalimbali.

makundi ya vyakula

Inategemea uwezo wako wa kipesakam unazo pesa pesa asubuhi unaweza kula chai ya maziwa ,mayai japo 2 mkate warangi ya Brown, wakati wa mchan unaweza kula wali kwa mboga ya majani na samaki, siku nyingine unabadilishauankula wali kwa mboga za majani na kuku. Wakati wa usiku utakula sio kizito sana kama ulivyokula wakati wa mchana usikose pia kula matunda wakati kabla ya kutokula chakula. Pendelea kunyw amaji kwa wingi haswa maji ya uvuguvgu kwa afyayako itakuw ani imara zaidi.

Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Tuliongelea sababu zake na tukaweka wazi suluhisho kwa kipindi hiki cha mpito ni kuupa mwili mlo sahihi ili kujijengea wenyewe kinga na tiba ya maradhi takribani yote duniani. Wasomaji wengi walipiga simu wakitaka kujua mlo sahihi ni upi hasa. Kula vyakula vyenye asili ya mimea na hasa vile ambavyo havipitii jikoni na kuchomwa na moto kabla ya kuliwa ndiyo sahihi na muhimili mkuu wa tiba na kinga ya maradhi anayougua binadamu, yakiwemo yale sugu kama kifua kikuu, saratani za aina tofauti, shinikizo la damu, kupooza, ganzi na hata kisukari.

Kitaalamu, ukikaa mezani kula mlo wa asubuhi, mchana, na hata jioni, hakikisha asilimia 75 ya mlo wako ni vyakula ambavyo havijapikwa kama vile kachumbari, matunda, mboga za majani zilizochemshwa tu, mbegu kama korosho, karanga n. Tafiti nyingi duniani zimethibitisha kuwa kadiri mtu anavyoongeza vyakula visivyopikwa na kupunguza vile vilivyopikwa ndivyo kinga ya mwili inavyozidi kuimarika na kuifanya ngozi ya mwili kunawiri pia.

Ukila vyakula ambavyo maandalizi yake hayahusishi moto basi ndani ya miezi mitatu utaweza kubaini mabadiliko. Aina nyingi za mboga za majani hupikwa ili tupate ladha na kuua wadudu waliyomo, hivyo tunashauriwa tusizipike kwa moto unaozidi nyuzi joto 47 kwa kuwa joto zaidi ya hapo litaua virutubisho vyote.

Maziwa pia yanatakiwa yachemshwe vema ili kuua vijidudu.

makundi ya vyakula

Ni vizuri kujenga mazoea ya kula chakula pamoja na kachumbari kila mara, ambayo mara nyingi huwa ni mchanganyiko rahisi tu wa vitunguu, nyanya, ndimu na pilipili. Vinaweza kuonekana siyo muhimu kiafya, lakini ukweli ni muhimu sana kwa mwili. Kutokana na mazingira na sababu mbalimbali, mtu unaweza kukosa fursa ya kula matunda, lakini wanasayansi wameturahisishia kwa kuweka virutubisho vipatikanavyo kwenye matunda na mboga. Tatizo kubwa lililopo nchini Tanzania ni kukosekana kwa uelewa wa kutosha kuhusu vidonge lishe Food Supplementskutopatikana kirahisi na kwa bei anayoweza kuimudu mtu wa kipato cha chini.

Wenye maduka ya dawa baridi na zahanati nchini wanashauriwa kuweka vidonge lishe pia sehemu zao za tiba ili kuwarahisishia watu upatinaje wake, sisi pia kama chombo cha habari tuko tayari kusaidiana na wadau hao kuelekezana upatikanaji wake, halikadhalika msomaji usisite kuwasiliana nasi kwa lolote.

Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Unknown 6 May at MziziMkavu 12 May at Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali d Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi.

Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa naCHAKULA ni muhimu kwa maisha ya binadamu kwani humwezesha kupata nguvu na virutubisho ambavyo husaidia kuujenga mwili na kuupa kinga dhidi ya maradhi mbalimbali. Kuna aina za vyakula ambavyo pia vina kazi tofauti mwilini na vina virutubisho tofautitofauti, hivyo mtu anatakiwa kula vyakula vya aina mbalimbali kwani aina moja haiwezi kuwa na virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.

Virutubisho vina kazi maalumu mwilini na hii huwezesha mfumo wa mwili kufanya kazi vizuri. Vyakula vimegawanyika katika makundi mbalimbali kulingana na kazi za vyakula hivyo mwilini.

Att activate sim card

Hata hivyo, vyakula vilivyo katika kundi moja huweza kuwa na aina ya viwango tofauti vya virutubisho na wakati mwingine hata aina ya virutubisho vilivyomo.

Kwa hali hiyo basi, mtu anatakiwa kula mchanganyiko wa vyakula mbalimbali ili kupata virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini. Mlo wenye mchanganyiko wa vyakula vyenye virutubishi vya aina zote, huitwa mlo kamili ambao ni muhimu sana hasa kwa watoto, ambao huwasaidia kukua vizuri na kuwa na afya njema.

Mlo kamili humwezesha mtu kujikinga na maradhi mbalimbali kama vile malaria, surua, kuharisha, shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo na hata ukimwi. Mlo kamili na wa kutosha hutoa virutubishi kama vile protini, vitamini, madini na nishati. Vile vile mlo kamili ni muhimu kwa wazee na wagonjwa katika kujenga mwili na kusaidia uponaji wa majeraha, na kupata nguvu baada ya kukabiliana na maradhi. Vyakula vya wanga ni muhimu katika kuupa nguvu mwili za kufanya kazi mbali mbali. Vyakula vyenye wanga ni nafaka, kama mahindi, mchele, ngano, mtama, ulezi, uwele na kadhalika.

Wanga pia hupatikana katika mihogo, viazi vitamu, viazi mviringo, viazi vikuu, magimbi, ndizi, miwa na asali. Protini ni muhimu sana katika kujenga mwili na kuwezesha ukuaji wa mwili hasa kwa watoto na pia husaidia kutengeneza kinga ya mwili.

VIRUTUBISHI,MAKUNDI YA VYAKULA NA MLO KAMILI

Protini pia hupatikana kwa kula mayai, maziwa na kunde, maharage, soya, dengu, choroko, njegere, mbaazi, na njugu mawe. Vyakula vyenye mafuta huleta joto mwilini, na vile vile huleta nguvu mwilini na kulinda. Hulainisha ngozi na pia utando membrane. Mafuta hutokana na mimea na huwa yanauzwa madukani kama vile, mafuta ya karanga, alizeti, nazi, ufuta, korosho, mawese, mbegu za maboga, mbegu za pamba.

Matunda na mboga ni muhimu sana katika mwili, kwa vile vyakula hivi vina vitamini na madini mbalimbali ambayo ni muhimu mwilini.

Close tab chrome extension

Vitamini na madini huhitajika kwa kiwango kidogo sana, lakini ni muhimu kwa mwili kuweza kufanya kazi zake vizuri. Upungufu wa vitamini na madini mwilini unaweza kusababisha hitilafu mbalimbali katika mwili na hata kusababisha kasoro zinazoambatana na maradhi mwilini.

Vitamini A ni muhimu katika ukuaji hasa kwa watoto na utengenezaji wa chembechembe za mwili. Husaidia kuongeza kinga mwilini na kuwezesha macho kufanya kazi vizuri. Vitamini A ni muhimu katika kutunza ngozi. Vitamini A, hupatikana katika matunda na mboga zenye rangi ya machungwa na manjano, kama vile karoti, viazi vitamu vya manjano, maembe, na nyanya.

Pia hupatikana katika mboga za majani, maini na maziwa. Vitamini A husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali hasa yanayosababisha ngozi kubabuka hasa katika zile sehemu zinazopigwa na jua au kama chakula kinashindwa kusagika vizuri na kusababisha kuharisha. Ukosefu wa vitamin B unasababisha beriberi, ugonjwa unaofanya mtu kupungua uzito, moyo unaweza kuwa mkubwa, miguu kuvimba na kujaa maji.

makundi ya vyakula

Ukosefu wa vitamini B pia unaweza kusababisha midomo kupasuka, na dalili nyinginezo.


Categories: